Sponsored Links
A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #

Wowowo Lyrics

By ZAiiD

Verse 1
figure huonekana hata kwenye baibui
Mchovu akipewa hilo zigo hainui
Chungu cha moto bila fundi haivui
Wachina wanaleta mbolea haujui
Mi nalipenda likiwa so natural
Au likizungushwa mikongo ya kanga so cultural
Mchizi nakuapisha mithili ya babelon
Nasuuza mwili machodow damn bonge la kalio
Mapedeshe wanamwaga bonge la salio
Natetema mwili likitingishikaga
Siend mbali kama likikatishaga wowowo

CHORUS
Zawadi ya kudum ni kubarikiwa wowowo
Hata ujirembe vipi si tuna tazama wowowo
Sura hata mbuzi anayo ila sasa wowowo
Hata ujirembe vp si tunatazama wowowo

VERSE 2
Toto limejaa kama limefichwa sirisiri
Usiombe likikatika makhirikhiri
Hutocheck popote yakiwiliwili
Udenda utakutoka utasema tit tit
Linavyocheza,limejibeba,linajiweza,linavyonesa,linavyopeta
Linawatesa wanavyokesha kulisomea,kulibenza
Juu kama nyigu chini container
Kila macho yananasa kama antenna
Duka la vitu limejaa vema lakini sina ham tena
Haya mambo ya mamiss sina ham tena
Linaafya kibao likikatisha kwa madingi ni talaka kisa wowowo

CHORUS


Sponsored links

Lyrics submitted by Michael on Jun 18, 2018 .

Join Us On Facebook

Please Wait 10 Seconds...!!!Skip
Sponsored links